ASALI NA FAIDA ZAKE
Asali ni dawa ya kila maradhi /ponyo kwa kwa Kila maradhi
Kama ilivyosemwa na mwenyezimung katika qur'an
Kama ilivyotajwa katika Qur'an
يَخۡرُجُ مِنۡۢ بُطُوۡنِهَا شَرَابٌ مُّخۡتَلِفٌ اَلۡوَانُهٗ فِيۡهِ شِفَآءٌ لِّلنَّاسِؕ اِنَّ فِىۡ ذٰ لِكَ لَاٰيَةً لِّقَوۡمٍ يَّتَفَكَّرُوۡنَ
katika matumbo yao kunatoka kinywaji chenye rangi mbalimbali, ndani yake kina pozo kwa wanadamu.(An-Nahl:69)
Asali ni dawa inayoweza kutumika katika matumizi mengi kwa kutibia maradh tofauti, unaweza ukatumia asali na maji ya uvuguvugu ukawa Mwenye kunywa kabla yakula chochote haswahaswa vizuri kwa asubuh ukitumia Kama kifungua kinywa
(I)kuungua na Moto
(ii)huongeza nguvu za kiume
(iii)asali hitumika Kama njia yakuhifadhi kitu kisiharibike au kisioze
(iv)asali huponya mafua
(v)huondoa mikunjo ya ngozi
(vi)hutibu pumu
(vii)huondoa maumivu ya mwili ,hutumika Kama scrub , facial kwa kuondoa madoa mapaka harara kufanya ngozi kuwa nyororo kufanya nywele zisikatike na kuwa imara Tiba kwa macho na mengine mengi , n.k
KUUNGUA NA MOTO
hutumika Kama pozo pale mtu akiungua na Moto mvuke madawa yakujipaka halkadhalika akabambuka ngozi yake ikipata jeraha au kuungua asali ni pozo atumie kujipaka asubuh na jion atarudi katika Hal take ya kawaida
HUONGEZA NGUVU ZA KIUME
Kama utachukua asali na kuchemsha na habat soda pamoja na mdalasini ukawa unatumia nusu kikombe Cha kahawa kutwa Mara tatu wiki 2 itakusaidia kurudisha nguvu zako
HUSAFISHA DAMU
asali ukitumia kabla hujakula vijiko viwili 2 kwa maji ya uvuguvugu au chai ukawa wanywa husafisha damu
KIFUA
<asali pia hupoza kifua kwa kutumia na kitunguuu maji kuchuja maji ya kitunguuu maji pamoja na asali ujazo sawa ukaichemsha Kisha ukatumia vijiko 2 Kutwa Mara tatu wiki utarudi katika Hali yako
HUTUMIKA KITU KISIHARIBIKE
asali nikimiminika kilichokua na sifa ya kuhifadhi vitu Kama utachukua kitunguu au dawa ya Aina yoyote Kuna uwezekano mkubwa dawa Ile kuharibika nakutoa harufu ya kuoza lakin ukitia pamoja na asali kitu like kinakua kinahifadhika Wala hakiozi ambacho unaweza kukitumia bila wasiwasi Tena kwa masiku unayoyataka
HUONDOA MIKUNJO YA NGOZI
Asali unaweza kutumia kwa kujipaka Kila siku sehem ilojikunja nakukuletea matokeo mazuri kwa ngozi yako kurud kukaaa vizuri kwa afya iliyo Bora.
ASALI HUONDOA MADOA;
pia asali inaweza kuifanya Kama pozo kwa kidonda kibichi
HUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
hutibu vidonda vya tumbo kwa kuchanganya na habat soda mdalasin na mafuta ya kondooo
fuatilia katika kurasa zinazofuata kupata kujua mengi ya tiba za asali
inaendeleaa........
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni