Faida za Koto kuzizungumzia kwa Mara moja haiwezekani kutokana na upana wa Tiba yake pia na maelekezo yake , Koto ina faida nyingi sana ambazo Huweza kusaidia Matatizo mbalimbali.Zifuatazo ni baadhi za faida za koto:
(i)KOTO KWA HOMA ZA MSIMU
(ii) KIFUA NA PUMU
Changanya unga wa KOTO vijiko 4 na asali lita kwa wiki kutwa Mara 2 au tatu
(iii)Changanya unga wa KOTO na asali utengeneze Mchanganyiko mlaini upake sehemu husika uuache kwa mda wa saa 1 mfululizo ndani ya wiki.kama.madoa au MAKOVU yatakua sugu
(iv)KUSAFISHA FIGO;
(v)koto hutibu maradhi ya ngozi waweza kuitumia ujipaka Kwenye ngozi sehem ilokua na athar na kupona.
(vi) NIMONIA
(vii)NGUVU ZA KIUME
(viii) MARADHI YA BARIDI
(ix) VIDONDA VYA MAJI MAJI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni