Tiba asili online, Ni web inayotoa elimu ya madawa asili ili kusaidia watu kuweza kujua dawa mbalimbali za kiasili ambazo zitaweza kuwasaidia wote wenye uhitaji kwa Wakati husika.
Vision,
Kuwa ni web kubwa utakayoweza kuelezea dawa mbalimbali ambazo zitakua nimsaada kwa watu.
mission,
Kuweza kusaidia watu kutokana na kujitibia kwa madawa ya asili ,kuweza kuondokana na maradhi mbalimbali.
Motto,
Huruma Imani na uadilifu
Contact me,
Nawakaribisha wote mnaotoka kujua zaidi kwa maswali ushauri
Tibaasilionline@gmail.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni